VITABU VYA KISWAHILI
Bible and Spirituality
Jumuiya ya Mtakatifu Egidio
Na Andrea Riccardi
ISBN 9966-08-026-0; kurasa: 192; kilitolewa 2005; bei: US$ 6.00
Mazoezi ya Kiroho ya Mtakatifu Inyasi wa Loyola
Na Festo L. M. Mkenda, SJ
ISBN 9966-08-055-4; kurasa 200; kilitolewa 2005; bei: US$ 5.00
Sala kwa Wakristu wa Afrika
Na P. Baudena, IMC na J. B. Gichuhi
ISBN 9966-21-767-3; kurasa: 128; kilitolewa 2004; bei: US$ 2.70
Zawadi ya Imani
Na Tadeusz Dajczer
ISBN 9966-08-115-1; kurasa 184; kilitolewa 2006; bei: US$ 2.50
Catechesis
Katekisimu ya Kanisa Katoliki
Kimetafsiriwa na Baraza la Maaskofu wa Tanzania
ISBN 9966-21-472-0; kurasa 664; kilitolewa 2000; toleo la pili 2004; bei: US$ 10.00
KATEKISIMU YA KANISA KATOLIKI
Ufupisho-Makini
ISBN 9966-08-297-2; 208 pages; publication 2008; price: US$ 4.00
Je, Wakatoliki Wameokoka?
Na Wolfgang Schonecke, M.Afr.
ISBN 9966-21-575-1; kurasa 64; kilitolewa 2001; toleo la tatu 2004; bei: US$ 1.00
Katekisimu ya Familia
Na Wilfred D’Souza, SDB
ISBN 9966-21-039-3; kurasa 56; kilitolewa 1992; toleo la tatu 2004; bei: US$ 0.65
Kumtafuta Mungu kwa njia ya imani katoliki
Na Theodore W. Walters, SJ
ISBN 9966-21-960-9; kurasa 128; kilitolewa 2005; bei: US$ 4.00
Mkatoliki? Una Wazimu!
Na John M. Phiri
ISBN 9966-21-320-1; kurasa 64; kilitolewa 1998; bei: US$ 1.00
Mwanga wa Imani
Mafundisho ya Wakristu Wazima
Na Giuseppe Bertinazzo, MCCJ
ISBN 9966-21-648-0; kurasa 215; kilitolewa 1988; bei: US$ 3.00
Wokovu ni Safari
Na Michael Moloney
ISBN 9966-21-407-0; kurasa 40; kilitolewa 2000; bei: US$ 1.00
Katekisimu Katoliki Kenya
Sehumu ya 1: Ungamo la Imani, Kifungu I, jarida 12 US$ 0.60
Sehemu ya 1: Ungamo la Imani, Kifungu II, jarida 12 US$ 0.60
Sehemu ya 2: Adhimisho la Fumbo la Kikristu, Kifungu I & II, jarida 15 US$ 0.60
Sehemu ya 3: Maisha katika Kristu, Kifungu I & II, jarida 13 US$ 0.60
Sehemu ya 4: Sala ya Kikristu, Kifungu I & II, jarida 14 US$ 0.60
Sacraments Series
Kujiandaa Kufunga Ndoa
Na John Burke, 9966-21-888-2; US$ 1.00
Sakramenti ya Ekaristi
Na Chris Mallia, 9966-21-599-9; US$ 1.00
Sakramenti ya Ndoa
Na Chris Mallia, 9966-21-365-1; US$ 1.00
Sakramenti ya Upatanisho
Na Chris Mallia, 9966-21-603-0; US$ 1.00
Sakramenti ya Daraja
Na Chris Mallia, 9966-21-894-7; US$ 1.00
Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa
Na Chris Mallia, 9966-21-889-0; US$ 1.00
Sakramenti ya Ubatizo
Na Chris Mallia, 9966-21-892-1; US$ 1.00
Sakramenti ya Kipaimara
ISBN 9966-21-893-9; US$ 1.00
Ubatizo wa Watoto Wachanga
Na Alazar Abraha, 9966-21-458-5; US$ 1.50
Liturgy
Kujifunza na Kushirikishana Biblia katika Injili Ya Mathayo – Mwaka A
Na Richard Baawobr, M.Afr.
ISBN 9966-21-312-0; kurasa: 136; kilitolewa 2001; bei: US$ 2.00
Kujifunza na Kushirikishana Biblia katika Injili Ya Marko – Mwaka B
Na Richard Baawobr, M.Afr.
ISBN 9966-21-304-x; kurasa: 136; kilitolewa 2001; bei: US$ 2.00
Kujifunza na Kushirikishana Biblia Katika Injili ya Luka – Mwaka C
Na Richard Baawobr, M.Afr.
ISBN 9966-21-597-2; kurasa 132; kilitolewa 2001; bei: US$ 2.00
Ibada ya Jumapili
Na Baraza la Maaskofu wa Kenya
ISBN 9966-21-192-6; kurasa 88; kilitolewa 1996; bei: US$ 1.00
Kaeni Hapa Mkeshe
Na Eugenia Campara, FSP
ISBN 9966-08-090-2; kurasa 80; kilitolewa 2005; bei: US$ 1.00
Kusali Rozari na Papa
ISBN 9966-21-858-0; kurasa 32; kilitolewa 2003; toleo la nne 2004; bei: US$ 0.25
Nimekuita kwa Jina Lako
Na Medical Missionaries of Mary
ISBN 9966- 21- kurasa 24; kilitolewa 2003; bei: US$ 0.15
Njia ya Msalaba
Na Christopher Owczarek and S. Bullen
ISBN 9966-21-880-7; kurasa 40; kilitolewa 2003; bei: US$ 0.25
Njia ya Msalaba
Na Alazar Abraha, MCCJ
ISBN 9966-21-610-3; kurasa: 40; kilitolewa 2001; toleo la pili 2004, bei: US$ 0.60
Sala na Ibada
ISBN 9966-21-008-3; kurasa 94; kilitolewa 1991; toleo la saba 2004; bei: US$ 0.50
Practical Theology
Hadithi za Kiafrika
Kwa Wahubiri na Walimu
Zimekusanywa na Kuhaririwa na Joseph G. Healey, M.M.
Tafsiri ya Kiswahili na John P. Mbonde
Original Title: African Stories for Preachers and Teachers
ISBN 9966-08-110-0; 152 pages; price: US$ 5.00
Formation:
Kuhusu Series
Itikadi Kali 9966-21-602-2 US$ 0.40
Ukimwi 9966-21-931-5 US$ 0.40
Kutoa Mimba 9966-21-576-x US$ 0.40
Ndoa ya Mkatoliki na Mwislamu 9966-21-601-4 US$ 0.40
Nina Mimba Nifanye Je? 9966-21-556-5 US$ 0.40
Ulevi 9966-21-566-2 US$ 0.40
Wasichana 9966-21-569-7 US$ 0.40
Wavulana 9966-21-598-0 US$ 0.40
Nilinunua Ukimwi Kwenye Baa 9966-21-931-5 US$ 0.40
Jinsi Ya Kuishi na HIV/ukimwi 9966-21-778-9 US$ 0.15
Formation of Youth
Simama Imara
Masomo 50 ya Kuwalea Vijana Kikristu
Na Sahaya G. Selvam, SDB;
ISBN 9966-21-813-9; kurasa 152; bei: US$ 5.00
Uwezo wa Kuzaa
Kwa Wasichana na Wavulana
Na Jane M. Kiura;
ISBN 9966-21-544-1; kurasa 56; bei: US$ 1.00
Witnesses of the Gospel
Bakhita
Na Clare Ukken, FSP;
ISBN 9966-21-146-2; kurasa 80; bei: US$ 0.50
Ua la Upendo
Maisha ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu, Aliyoyaandika Yeye Mwenyewe
ISBN 9966-21-021-0; kurasa 288; toleo la pili 2000; bei: US$ 6.00
Wosia wa Mhujaji
Tawasifu ya Mtakatifu Inyasi wa Loyola
Na Luis Gonçalves da Camara;
ISBN 9966-21-819-x; kurasa 176; bei: US$ 1.00
Yakobo ALberione
Na Joseph Bragotti;
ISBN 9966-21-917-x; kurasa 56; bei: US$ 0.25
Zaidi ya Ukimya
Shajara ya Maisha na Barua za Benedetta Bianchi Porro
Na Anna M. Cappelli;
ISBN 9966-21-572-2; kurasa 128; bei: US$ 2.00
Social Ethics
Hekima
Na Alama Za Nyakati
Na C. Krautkremer, J. Srebalus, M. Meyer
ISBN 9966-21-764-9; kurasa 128; kilitolewa 2003; bei: US$ 1.50
Madhumuni ya kitabu hiki ni kueleza na kuhimiza tabia na ujuzi wa kuishi kwa ufahamu zaidi ulimwengu unaobadilika. Kitabu hiki ni mwongozo na chemichemi kwa watu wanaohudumia vikundi.
Jinsia upeo wa wanaume na wanawake
Na J. Nyenyembe
ISBN 9966-21-329-5; kurasa 120; kilitolewa 1997; bei: US$ 0.70
Mwandishi anaonyesha mwanamke bado ananyanyaswa na kudharauliwa na kunyimwa haki. Anaeleza changamoto mbalimbali na hoja za kita-alamu. Hitilafu za wanaume zinaelezwa kikamilifu na jinsi wanawake wanavyojizalilisha.
Uonevu Dhidi ya Wanawake
Kimeandikwa na Chama cha Wanawake Afrika Mashariki na Kati
ISBN 9966-21-335-x; kurasa 54; kilitolewa 1997; bei: US$ 0.70
Kitabu hiki kinawakaribisha watu wote, wenye mapenzi mema kushiriki katika shughuli za kuleta haki, usawa, amani, umoja kwa wote – waume kwa wake – majumbani, mijini, kwenye nchi zao na katika ulimwengu mzima.
The Pope Speaks Series
Ekaristi Uhai wa Kanisa
Ecclesia de Eucharistia
Na Papa Yohane Paulo wa Pili
ISBN 9966-21-039-2; kurasa 48; kilitolewa 2005; bei: US$ 1.00
Juu ya Rozari Takatifu
Rosarium Virginis Mariae
Na Papa Yohane Paulo wa Pili
ISBN 9966-21-895-5; kurasa 40; kilitolewa 2003; bei: US$ 0.50
Kaa Nasi Bwana
Mane Nobiscum Domine
Na Papa Yohane Paulo II
ISBN 9966-21-980-3; kurasa 24; kilitolewa 2004; bei: US$ 0.60
Kanisa Barani Afrika
Ecclesia in Africa
Na Papa Yohane Paulo II
ISBN 9966-21-234-5; Kurasa 104; kilitolewa 1996; bei: US$ 2.00
MKUTANO MKUU MAALUM WA PILI WA AFRIKA
LINEAMENTA
Na Sinodi ya Maaskafu
ISBN 9966-08-279-4; kurasa 72; kilichapishwa 2007; bei: US$ 1.70
Tuingie milenia mpya
Novo Millennio Ineunte
Na Yohane Paulo II
ISBN 9966-21-054-7; kurasa 54; kilitolewa 2001; bei: US$ 1.00
Utume wa mkombozi
Redemptoris Missio
Na Papa Yohane Paulo II
ISBN 9966-21-172-1; kurasa 80; kilitolewa 1995; bei: US$ 1.50
Wito wa Kimisionari
Katekesi ya Umisionari ya Papa Yohane Paulo II
ISBN 9966-21-203-5; kurasa 40; kilitolewa 1996; bei: US$ 1.00
Teaching of the Church
Kazi za Kimisioni za Kanisa
Hati ya Mtaguso Mkuu wa Vatikano II Ad Gentes
ISBN 9966-21-202-7; kurasa 56; kilitolewa 1996; bei: US$ 1.50
Kitabu hiki kinafafanua misingi na Kanuni za kazi za kimisioni. Kinaeleza juhudi za waumini wote zilivyounganishwa ili Taifa la Mungu, lienee katika ile njia nyembamba ya msalaba, na Wakristu waeneze popote ufalme wake Kristu, Bwana na Mungu wa Milele, na hivyo kumtayarishia njia wakati wa ujio wake.
Kuanza Upya Kutoka Kwa Kristu
Idara ya Mashirika ya Maisha ya Utakaso na Vyama vya Maisha ya Kitume
ISBN 9966-21-761-4; kurasa 64; kilitolewa 2003; bei: US$ 1.00
Sakramenti ya Ukombozi
Redemptionis Sacramentum
Idara ya Kuabudu na Nidhamu ya Sakramenti
ISBN 9966-21-990-0; kurasa 64; kilitolewa 2004; bei: US$ 1.00
Children’s Books
Kijana ambaye Hakupenda Shule, 9966-21-462-3; US$ 0.40
Kijana Mkorofi, 9966-21-477-1; US$ 0.40
Kijana Mwerevu na Shing’weng’we, 9966-21-492-5; US$ 1.00
Mfalme wa Mambilikimo, 9966-21-463-1; bei: US$ 0.40
Msichana Aliye kuwa na Roho ya Dhahabu, 9966-21-461-1; US$ 0.40
Ninakusimulia Hadithi ya Yesu, 9966-21-270-1; US$ 1.00
Siku Yangu Ya Kwanza Kutembelea Nairobi, 9966-21-465-8; US$ 0.50
Watoto Wanatoka Wapi? 9966-21-499-2; US$ 0.80
Watoto Wanatoka Wapi? 9966-21-500-x; US$ 0.80
Children Tell Their Story Series
Mjomba alipenda Kusema, 9966-21-967-x; US$ 0.40
Namkosa Mama na Baba, 9966-21-965-x; US$ 0.70
Tafadhali Nyanya niambie ukweli, 9966-21-966-8; 0.40
Learning Series
Kusoma – ISBN 9966-21-498-4; kurasa 32; bei: US$ 1.00
Kuandika – ISBN 9966-21-496-8; kurasa 40; bei: US$ 1.00
Kuhesabu – ISBN 9966-21-497-6; kurasa 40; bei: US$ 1.00
Mfululizo wa Vitabu vya Rangi
Vijitabu vizuri vyenye kurasa 24, vimetolewa 1998; bei: US$ 0.40
1. Familia Yetu – ISBN 9966-21-427-5
2. Uumbaji – ISBN 9966-21-428-3
3. Rafiki Zangu – ISBN 9966-21-429-1
4. Mungu Ananipenda – ISBN 9966-21-430-5
5. Shule Yetu – ISBN 9966-21-431-3
6. Wanyama – ISBN 9966-21-432-1
7. Yesu – ISBN 9966-21-433-x
8. Rafiki Zake Yesu – ISBN 9966-21-434-8
9. Watakatifu Niwapendao – ISBN 9966-21-435-6
10. Rosari Yangu – ISBN 9966-21-436-4
|